Wednesday, January 12, 2011

Wachina Weusi

Nashukuru sana kwa wadau wengi kujaribu kujizolea donge la $50 ukweli ni kwamba Kushoto ni Evance Joseph Mhando (Mr Names) kama watu wanavyomuita,akiwa kwenye mgahawa mmoja wa chakula Wuhan(China) wakila pamoja na Ramadhan Mtumwa toka Zanzibar, Tanzania wakila wali samaki na uyoga wa china.
mimi pia nilifikiri ni Kinyemi kwa hiyo usijisikie vibaya haukua peke yako
Maoni ya wadau wengine.... 
1.Huyo ni yakob kinyemi na Mohamed mussa.

2.huyo si namiambiee na juma issa

3. Luke mimi najaribu,mwenye shati la mistaristari ni Yakob Kinyemi na kaka huyo mwingine ni-Juma Issa.Naiwania hiyo $50,au hata $25 nikipatia nusu,lol.
Zaydullah.
4. huyo ni kinyemi(bwana mizee
5.HAO NI ROOMMATE KINYEMI NA ABDALLA MFUPI 

D.yoo. 
Na ukitaka kuona picha zaidi Tembelea hapo chini

http://swahili.cri.cn/141/2010/11/09/Zt1s101936.htm

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake