Sunday, January 23, 2011

Image
Mwenyekiti wa Bodi ya Tanzania Standard Newspapers (TSN) Limited inayomiliki magazeti ya Serikali ya Daily News na HABARILEO, Wilson Mukama (katikati), akipewa mkono wa pongezi na Mwambata wa Ubalozi wa India nchini, Sanjeer Manchanda, kwa niaba ya wageni maarufu walioalikwa kwenye tafrija ya chakula cha jioni Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa TSN, Mkumbwa Ally. (Picha na Robert Okanda).

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake