ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, January 2, 2011

Pongezi Pro.Julius Nyang'oro,Durham,NC,January 1,2011

Kitabu cha wasifu wa JK kilichoandikwa na Pro.Julius Nyang'oro anaeishi Durham,North Carolina pia anafundisha University of North Carolina iliyopo Chapel Hill,NC.
Mh.Balozi Na Maafisa Ubalozi waiingia Ukumbini kwenye Ghafla ya kumpongeza Julius Nyang'oro kwa kuandika kitabu ya wasifu wa JK,ghafla aliyofanyiwa  na mpenzi  Mke wake Alu Kalala Nyang;oro
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na Julius Nyang'oro na wapili kutoka kulia ni Alu Nyang'oro Mke wa Julius Nyang'oro hii ni wakati Mh.Balozi akikabiziwa zawadi maalumu ya kitabu cha wasifu wa JK na Yusuf Nyang'oro aliyopo mbele ya Mh.Balozi.
Mh.Balozi Mwanaidi Maajar(kulia) akiwa pamoja Pro.Julius Nyag'oro,mwandishi wa kitabu cha wasifu wa JK
Pro Julius Nyang'oro akitia saini kitabu cha Kwanza kwa Mh.Balozi Mwanaidi Maajar.

Mh.Balozi Mwanaidi Maajar akikabiziwa kitabu cha wasifu wa  JK na Pro.Julius Nyang'oro,nakala ya Kiingereza na Kiswahili.kwa picha zaidi Bofya Read Moore

No comments: