kuna wadau wamejaribu kuwatambua hawa ni wakina nani lakini bado hajakamilisha majina yote mawili kwahiyo narudia tena hawa ni wakina nani kwa mdau atakaepatia majina kamili ya watu hawa atajizolea $50 CASH
3 comments:
Anonymous
said...
Luke mimi najaribu,mwenye shati la mistaristari ni Yakob Kinyemi na kaka huyo mwingine ni-Juma Issa.Naiwania hiyo $50,au hata $25 nikipatia nusu,lol.
3 comments:
Luke mimi najaribu,mwenye shati la mistaristari ni Yakob Kinyemi na kaka huyo mwingine ni-Juma Issa.Naiwania hiyo $50,au hata $25 nikipatia nusu,lol.
Zaydullah.
Huyo ni yakob kinyemi na Mohamed mussa.
D.yoo.
huyo si namiambiee na juma issa
Post a Comment