CCM leo imeadhimisha miaka 34 ya kuzaliwa kwake. Sherehe hizo zimefanyika mjini Dodoma na kuongozwa na mwenyekiti wake, DK Jakaya Mrisho Kikwete (wa tatu kutoka kushoto) na mkewe Mama Salma
Baadhi ya wanachama wa chama hicho mkoani Dodoma wakishirki katika sherehe hizo kwa njia ya maandamano
PICHA: Freddy Maro - IKulu
1 comment:
CCM MSITAKE NCHI YETUIKAWA KAMA EGYPT, TUMECHOKA NA CHAMA KIMOJA KWA MIAKA 34, TUNATAKA MABADILIKO YA HIYARI NA SIYO YA KUMWAGA DAMU KAMA INAVYOTOKEA EGYPT KWA SASA. WATANZANIA INABIDI TUJIFUNZE KUTOKANA NA MATUKIO DUNIANI KWANI HALI YA EGYPT IKIFIKA KWETU HATUNA MTU WA KUTUSAIDIA NA MISAADA IKIJAFIKA WATU WENGI KAMA SIYO WOTE WATAKUWA WAMESHAPOTEA. RAIS PLEASE SHAURI WANACCM KUACHIA NGAZI, I AM 34 YEARS NOW TANGU NIKO TUMBONI KWA MAMA NASIKIA NYIMBO ZA CCM HADI LEO HII, NEED CHANGE.
Post a Comment