Party ya siku ya kuzaliwa ya Loveness ilipambwa ikapambika
Loveness na ma Lovey Dovey sio nanihii wake lakini ndio ma loveness Yenyewe hayo
party ilikua nyomi wadau kila pembe
Shoushou na esther nao walikuwepo
Kifaru cha mji ndani ya nyumba hapa akipata U-kodak na Loveness
Kwa picha zaidi Bofya Read More
3 comments:
I like the Decoration i never seen before black and Red mmmh its the horror of the year..
Watu mnachezea pesa tu, si muwaletee waadhirika wa mabomu mngebarikiwa,Birthday mno utafikiri siku ya harusi. Hongereni wenzetu kwa kuwa na mijihela ya kuchezea.
watu bwana hamuezi kusifia mtu akifanya jambo lake?Anachezea hella kwani hella kazi yake ni nini??huyu dada anaroho nzuri kama unashida ya hella mpigie simu utakusaidia na waadhirika wa mabomu sio kazi yake ccm ipo wapi?napia kusaidia ni kwa kila mtanzania sasa ache kufanya sherehe yake kisa mabomu ??na hakika kabisa alieandika alikuja kwenye party na alikula na akaja kusema watanzania tuna wivu kazi kwelikweli
Post a Comment