
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika mazishi ya aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa Mtendaji Mkuu wa Tume ya Mipango Marehemu Lawrence Nyasebwa Mafuru, kwenye Makaburi ya Kondo, jijini Dar es Salaam Novemba 15, 2024.
No comments:
Post a Comment