ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, April 6, 2014

MKAKATI WA DIASPORA KATIKA DUAL CITIZENSHIP



CHANGIA 

Pursuant to our call for the right of dual citizenship for all Tanzanians, the Tanzanian Communities in the United States of America and the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA) have agreed to file a petition for this cause to the Constitutional Review Parliament that is now taking place in Dodoma, Tanzania through our Representative Honorable Kadari Singo, who is also a member of the our Diaspora Community and who resides in California. With the highest honor, we invite you to support this petition.

Honorable Kadari Singo is now attending the Constitutional Review Parliament in Dodoma.  After consultation with other members of the Parliament and in seeking their support, and after thorough deliberations on how to bring the issue of dual citizenship to the attention of all members of the above-mentioned Parliament, it was decided that a workshop, training or conference should be arranged to lobby to the members of the Parliament and inform them of the necessity and urgency of their supportive votes when the motion of dual citizenship will be tabled.

For that conference, we will need experts on this issue from other parts of Tanzania and abroad (including International Office for Migration - IOM) to attend at a very short notice. We will also need an excellent venue and some refreshments. Moreover, the experts on this issue will need to be paid. Hence, we are looking for at least $25,000 dollars to cover expenses for this event. The plan is to run a workshop/seminar for 3 days targeting different groups of MPs for each day.


The high level breakdown of the cost is as follows:
  • Workshop/seminar Facilitator’s Fees 
  • Venue/Hotel costs 
  • Training Materials 
  • Lunch and refreshments 
  • Media coverage and publicity
We are certain that if the members of the parliament are made to understand our motion, it will be easier for them to vote for dual citizenship. Dual citizenship is an important right that has been denied to Tanzanians since 1964. Thus, we hope that the workshop or conference will provide the members of the Parliament with an opportunity to understand the overall benefits of dual citizenship and why their votes for this cause are imperative. Moreover, we invite you to think about your interests, family and opportunities offered by dual citizenship.

For these reasons, we ask you to support this cause by giving any donations to the following account:

Using Debit/credit cards click here: 



The funds obtained will be used to arrange the above-mentioned workshop or conference in Dodoma, Tanzania. We need at least $ 25,000 so you may contribute any amount you can afford. If every Tanzanian in the United States contributes at least $50, we will reach or surpass the amount of $ 25,000.

We are grateful that you are supporting dual citizenship for Tanzanians outside their country and we hope through your support, we will be able to achieve this goal.
Tanzanian Communities in the United States and the Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA).

Iddi Sandaly 
President 
Association of the Tanzanian Community in Washington, DC 
Cell : 1-301-613-5165 


Benedict Kazora
President 
Tanzania Community in Dallas, Texas 
Cell : 1-269-873-0937

Ndaga Mwakabuta 
President, 
Diaspora Council of Tanzanians in America (DICOTA), 
Cell: 1-612-720-1791 

Hajji Khamis 
Chairman, 
Association of Tanzanian Community in New York 
Cell : 1-347-623-8965

Omar Ali 
Chairman, 
Zanzibar Diaspora Association (ZADIA)
Cell : 1-215-459-4449

Deogratius Mhella
Executive Secretary
Association of Tanzanian Community in New York 
Cell: 201-252-7220 

Emil Muta
Tanzania Community in Washington State 
Cell : 1-269-873-0937

RABIA DAHAL
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA
LOS ANGELES
EMAIL: radahal@aol.com
cell: 818-378-6076

DR. MATHIAS KAAYA
MWENYEKITI  MSAIDIZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA SAN FRANCISCO
cell: 510-290-9708

JOHN KAZOLA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA GEORGIA
EMAIL: jkazilo@gmail.com
cell: 678-362-8238

JAMES KITIA
RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA MIDWEST
EMAIL: jkitia@yahoo.com
cell: 773-747-4225

HAJJ KHAMIS
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK
EMAIL: babg5@yahoo.com

MISS YONA ISIMIKA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON STATES
EMAIL: Emil66muta@yahoo.co
CELL: 425-590-9292

EMIL MUTA
MWENYEKIT WA BOARD YA JUMUIYA YA WATANZANIA WASHINGTON STATES
EMAIL:Emil66muta@yahoo.co
cell: 253-952-0579

SUBIRA MABUBA
MWENYEKITI WA BODI YA JUMUIYA YA WATANZANIA WICHITA KANSAS
EMAIL: subira@homemail.com
cell: 316-519-2836

JOHN ADHERO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA KANSAS CITY
EMAIL:adheroj@yahoo.com
cell: 316-644-0828

SANGIWA ELIAMANI
RAIS WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW ENGLAND
EMAIL: sangiwa@newenglandumoja.net
736qibusdad@gmail.com

NOVATUS SIMBA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA HOUSTON
EMAIL: simbanova@hotmail.com
cell: 832-208-8344

PETER KIRIGITI
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA OHIO
EMAIL: kirigiti@yahoo.com
cell: 614-668-8096

GEOFFREY LEPANA
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NORTH CAROLINA
EMAIL: lepana.geoffrey@yahoo.com
cell: 336-512-8097

DOREEN KOBERO
MWENYEKITI WA JUMUIYA YA WATANZANIA FLORIDA
EMAIL: ddkobero@gmail.com
cell: 850-320-2290

Sikiliza Audio ya mwakilishi wetu Kadari Singo akiongea toka Dodoma
Iddi Sandaly
President

Association of Tanzanian Community in Washington DC, Maryland and Virginia

33 comments:

Anonymous said...

Jamani we're living in the technology era, can someone use the portal which are designed for activities like this, so we can all see how much is being raised and how much we have to go.

Please create an ID on fundme.com and we will start pour cash asap. Not ATC DMV account

Anonymous said...

I fully understand the issue, but I would be comfortable the donations collected by DICOTA. That being said I wont donate it.

Anonymous said...

Iddi Sandaly,
I suggest you should add PayPal on ways to contribute. This could be easier for people who are in locations where the bank does not exist.

Another way to raise this is to ask for organization either local or international to assist in footing the bill. e.g UNDP etc etc

Anonymous said...

when you need money we are in, apart from that we do not exist

Anonymous said...

It would have been easy kama mgekuwa na account katika banks zilizo available almost everywhere in the US i.e., Bank of America, Welsfago na Chase. Also have an adress incase some of us would like to send money order.

Anonymous said...

Ndugu zanguni WaTanzania tulioko huku nje, hili swala sio la kuingia kwenye mabishano ya aina hiyo. Kama wewe uko kwenye bank yoyote ile swala la kutransfer fedha sio gumu kama vipi basi bora hata kutumia Western Union kwenda kwa Uongozi wa DMV.Siku zinakwenda bunge litafungwa tofauti zetu tutazijutia. Asante.

Anonymous said...

I still do not understand why we have to spend money for this. With such hardcore squabbling members of parliament nothing vital important for its people can go throw. Let them just Yes or No without having to buy them Kili. They get paid already tones of money per day to make that happen.

Zanzibar.

Anonymous said...

When it comes to money, givers will find all the ways to make sure they contribute. Those who give excuses are not serious with our issues. Please stop making excuses. Just give....

Anonymous said...

Are you crazy we don't need duo period lets stop be selfish we don't need duo

Anonymous said...

But my Question is Why DMV tu? hii Dual citizen ni kwa wanaDMV tu au Marekani? vipi nchi zingine mbona wao wako kimya? Vipi uk , vipi Scandinavian countries? vipi Italy na kote mbona wao kimya tu? Hakuna Free Lunch ni lazima na wao watoe. Na nyie kwa nini hamkushirikisha Jumuia zote za hapa marekani mkawa na Account moja? California, New york, na kote wekeni accoount moja tu....

Anonymous said...

Waheshimiwa mimi nafikiri tuwatafute au muongee na viongozi wa Watanzania katika kila Jimbo ili wasaidie katika kuchangisha hii michango. Naona itakuwa rahisi na more effective kama hawa viongozi wataweza kuongea na kila Mtanzania jimboni kwake especially wale ambao tayari wana Uraia wa America maana hao ndio walengwa wakuu kwa sasa. Kuchangisha mtandaoni na kwenye hizo Bank Accounts ni vizuri lakini pia tuombe kila Mtanzania personally. Ahsante.

Anonymous said...

Nakujibu annon wa 12:55, watz wa ulaya Uk, Scandivia na zingine wako kimya kwa vile hawana shida na huo uraia pacha ni nyie wa huko america ndio mnaupigia debe..Ulaya ni wachache sana wanaunga mkono hio hoja kwa maslahi yao binafsi but kiujumla majority hawataki hata kuusikia huo uraia pacha...kwa hio kazi kwenu wabongo wa US and especially DMV.
Madau wa Finland.

Anicetus said...


Marikani ikipata mafua, dunia nzima inapata mafua. Mimi nimeshaweka weka macho wangu na zikupata matatizo..Aluta continua

Temba

Ed said...

http://www.gofundme.com/ Jamani nimesema hapo juu tunaitaji portal ambayo tutaona.

Fund zikikusanywa huku na DICOTA, huku sijui na DMV, huku sijui na community at state level, tutakuwa tuna poteza nguvu. Please create account http://www.gofundme.com/ push hii info kupitia all the blogs across the world na we will see how much money tumekusanya.

Sasa nyinyi endeleeni na hii sijui send to my account movement and see kama watu wataweka pesa.

Aliweiwei Machibya said...

Tanzania Uraia wa nchi mbili haiwezekani tulishaeleza mitandaoni kuwa uraia wa nchi mbili ni upopo wa kutupwa .

Anonymous said...

ok mimi nipo dmvnaikubaliani na uraiya pacha so stop kutuweka pamoja bwana uraiya pacha mnajuwa athari zake au mnataka tuu ???mgejuwa adhari zake mgekaa chini mkatafakari Tanzania ni nchi ya watanzania

Anonymous said...

Uraia wa nchi mbili sio DILI kabisa, bunge halitapitisha kitu kama hiki wakati wake baaaado labda karne ya 45.
Kuhusu uchangishaji wa pesa hawa viongozi ni MBURULAZ kwa sababu kuna njia nyingi za kuweza kufanya uchangishaji wa kiwazi, kazi kwenu.
Vyama na community zenyewe hazina pesa, kuchangisha kutoka kwa wanachama hawawezi waje leo wachangishe kwa shughuli kama hii?

Tungeanzia na wenyeviti na makatibu NYC, DMV, Chicago, Oakland, Seattle, North Carolina watoe $500 kila mmoja kuwahamasisha wanachama wao kama kweli wana moyo wa kutoa la sivyo uraia wa nchi mbili sio DILI kabisa. Suala hili liachieni nchi zilizoendelea maana kwetu sisi tunahitaji mda mwingi kumudu mambo mengi.

Anonymous said...

Inasikitisha sana bado kuona watanzania wanapenda kuomba pesa ila kuchambua hiyo budget ni kazi.

Mnakuja na kuomba 25,000 usd. Mmefikiaje hapo? Kwanini hamjaweka vitu vya hiyo 25k kupatikana.

Huu ni wizi na lazima kuna visivyo na umuhimu. Hamuwezi kaa mnaomba watu pesa ya wote na hamuweki break down ya pesa mnayoomba.

Acheni mchezo embu tumeni info zaidi, na wengi hapo juu mmesema la maana sana.

Kwani mkikaa ndani ya nyumba ya mtu mkalipia pesa ya subscription skype au ooVoo itakuwaje?

Chakula wakapika order ya ile restaurant mkaletewa, mkaongea na huko bongo. Connection ya kama watu watatu au zaidi mnaingia conference call na miwaya ya kuchaji mnakuwa nayo.

Mnaweka order ya mtu anawapikia hapo labda na mafuta yake etc mnaweza lipa mia 300, haya skype subscription sio bei mnalipa ya mwaka/miwili for in case ya future (ila ooVoo ni free up to 12 people kuconnect)

Ok hapo chini ya ddola 100.

Nyumbani huko hawaitaji pesan as mwakilishi anapata posho. Labda mumutumie pesa za kununua chupa za maji kama ni hawezi kununua hapo ili wanywe kilimanjaro na ni kununua za 500ml basi mnamtumia laki 1 au2.

Sasa hapo ni kwamba wengi hao wabunge hawataa kushinda nanyi as wana kazi ya kufanya, so inabidi muweke points chache na kutowakalisha kusikiliza kwa zaidi ya dk 10. Na another 5 mins wao kuuliza maswali na kujjibiwa kwa nidhamu sio mnagombania etc.

Pesa ingine mnahitaji ya nini? Ndio maana breakdown ni muhimu.

Na natumaini hamfikirii rushwa, yaani kuhonga hao wabunge.

Please wekeni breakdown ya 25,000 USD. Labda ndio na michango mtapata.

Anonymous said...

please let use fundme.com ni njia rahisi sana ya kukusanya pesa. kila mtu anaona hela imeingia na imeingia kiasi gani, na kama lengo limefikia au la. jamani twende na technology. Nimeitumia hii njia kuchangia kwenye vitu mabali mbali na changamoto yake inakuwa kubwa sana.

Anonymous said...

We nani kwa kakwambia kuwa watanzania walioko ulaya hawataki uraia pacha. Acha kuwasemea watu kama iko namna yoyote tunaweweza shirikkishwa itakuwa vyema achana na huyo anayetaka kufia finland.

Anonymous said...

How can you be taken seriously as an entity that can significantly contribute to the well being of tanzanans kama hata hio $25k inaombwa kwa kila mtu? Mnajenga tu hoja kwa wale wanaopinga hili swala kama kuna benefits za dual citizenships zitakazomgusa kila mtanzania.

Anicetus said...

Kuelimishana kwa Mfano: Uraia wa kuzaliwa ni haki ya mtu popote hapa duniani. Mimi Temba nitaonyesha kitambulisho changu cha hapa Marikani ambasho kinaonyesha kwamba Marekani wanatambua uraia nchi mbili: uraia wa mtu alipozaliwa_-Place of birth na nationality yake. Kwa mfano angalia kadi yangu hapo chini inaoyesha nilizaliwa Tanzania na Nationality yangu ni Marekani. Mimi na wengine ambao watakuwa na status hii,tunataka ile "Place of birth" yangu au yetu intabumbuliwe kwenye Katiba mpya. Watanzania waliozaliwa Tanznia ni Watanzania na hawawezi kunyanganywa uraia wao.
XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX
Renewed

UNITED STATES OF AMERICA
PASSPORT CARD
U ***
Nationality : USA
Passport No: Cxxxxxxxx
Surname: TEMBA
Given Names: ANICETUS ALPHONCE
SEX: M Date of Birth: 19xx

PLACE OF BIRTH: TANZANIA

Issued on: 31 Dec 2013
Expires on:30 DEC 2023

XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX

Temba

Anonymous said...

Sio wote dmv tunataka uraiya pacha no way hatutaki uraiya pacha

Anonymous said...

Mr. Temba wa March 16, 2014 at 9:11pm. Siku zote unajifanya hujui Kiswahili umekisahau, wakati umekuja Marekani mtu mzima na tayari una degree ya pale Chuo Kikuu cha Dar Es salaam. Sasa imekuwaje Leo umeandika msg kwa Kiswahili?? Unajiaibisha mtu mzima wewe, ni mfano gani unaouonyesha kwa vijana?

Anonymous said...

mr temba jamani kwani hujui mtu ukipata passport ya marekani ni lazima hakuna jinsi ukitaka usitake ni lazima ile place of birth yako lazima iwekwe tanzania kama umezaliwa huko tanzania unless kama umezaliwa hapa marekani sasa unachosema eti nataka ile place of birth yangu ionekane tanzania unamdanganya nani mtu mzima wewe au siku hizi busara nayao inaanza kukutoka pole pole umeshazeeka mkuu wadanganye wenginewe wasio na uraia wa marekani kwa aliye nao bwana humdanganyi mtu wamarekani watakuandika tu umezaliwa huko kwenu tanzania kivinje ukitaka usitake unless kama umezaliwa hapa okay take care

Anonymous said...

nimeipenda comment ya mdau mmoja hapo juu March 14, 2014 at 2:42 PM

when you need money we are in, apart from that we do not exist. Amesema kweli na tena amemalizaaaaaaaaaaaa hakuna malumbano ndo dunia ya leo ilivyo hata ukialikwa kwenye harusi kama hutoi pesa au mchango hawakujui kama huna pesa hawakujui wanatabia za kishamba shamba zisiozoenda shule wala hawana utu wala ugwana.

umenimaliza mdau mwenzangu yani nilivyosoma tu comment yako sijataka kusoma zote nilifurahi nikaifunga computer na kucheka tuu.

nimeona bora niandike hii message siku ya pili yake na kukukupongeza kwa kuandika maneno yako very simple and very clearly mungu akubariki sana you made my day

Anonymous said...

Sasa wawekezaji tunaowategemea mpaka mkachangishane $25,000? Kweli nyie watu ni wawekeaji aua mnataka kuja kuwa wabunge?

Mr Macha said...

Mimi raia marekani na wala sikubali hili jambo. Watu wote wanaotaka huu uraia pacha wanasaidia kuanzisha matawi ya vyama huku. Ndio wanajihusisha na mambo ya siasa wakirikiria wataweza kuwa wabunge Tanzania hawana akili ya kujua hata uraia wa marekani unakataza nini. Hawataruhusiwa kushiriki katika mambo ya kisiasa Tanzania na ukifanya hivyo unapoteza uraia.

Hawa watu ni tamaa tu wameshafanya nini Tanzania mpaka sasa na kuona kuwa kutokua na uraia ndio inawarudisha nyuma? Wana maneno tu lakini hakuna lolote wanalolifanya au wameshalifanya Tanzania kwa manufaa ya Tanzania. Ni tamaa zao tu na uchu wao kwa manufaa ya binafsi.

Mimi na wanangu wote hatuna uraia wa Tanzania tena. Mke wangu bado yeye ni raia wa Tanzania hataki kuchukua uraia wa marekani na mimi sio mchoyo wa kusema nisaliti nchi ninayoipenda kwa manufaa yangu. na wanangu wakifikisha mika 18 kama watapenda kuwa raia wa Tanzania basi wataenda na kuuchukua lakini siwezi kusupport kitu ninachojua huko mbeleni kitaleta madhara makubwa.

Watanzania mlioko nyumbani kataeni kabisa hili jambo. Madhara yake ni mengi sana kuliko faida zake. Nchi ambayo haijui hata raia wake ni wapi nchi za nje itawezaje kufuatlia hao wengine?

na kama wanataka uraia ili wawekeze Tanzania ni nini kinawashinda kulipa hiyo $25,000 mpaka waanze kuchangisha. Ni vijana waliotumia muda wao mwingi kutafuta ura wa marekani na kusahau kwenda shule. Sasa hivi mnauraia wa marekani rudini shuleni mpate elimu. Inasikirishha sana unavyoona nchi zingeine za Africa vijana wao wanavyojishughulisha na elimu. Watu wengi hapa hakuna lolote la zaidi. Mmepeta uraia hamuoni faida yake sasa manataka tena wa Tanzania kwa vile mmeshindwa kukubalika marekani. Hamuwezi kukubalika kama hamna elimu. RUDINI SHULENI

Tanzania ni nchi ya watanzania.

Anonymous said...

Mtu mzima anaongea pumba....Mr Temba ni aibu kwa jamii yetu na usituabishe sisi wachagga. Kwani kusema umezaliwa Tanzania ndio nini? That is a birth Place hata kama ungezaliwa kwenye moon ingeandikwa hapo.

Kumbuka Tanzania haikubali citizen by birth hivyo hata kama mtu ambaye alizaliwa Tanzania hawezi kuwa raia wa Tanzania kama wazazi wake hawakua raia wakati akizaliwa lakini still sehemu aliyozaliwa itaonyesha ni Tanzania. Je huyo mtu naye alalamike na kusema mimi nilizaliwa Tanzania wazazi wangu wakiwa wanafanya kazi huko hivyo nataka uraia wa Tanzania na pia niwe raia wa maerakani?...Acha pumba acha tamaa umepata uraia mwaka jana sasa hivi huoni faida yake...fulfillment haipo.

Anonymous said...

HIO NI KWIKWI , HIVI MNAJIDANGANYA KIASI HICHO ETI MAOMBI YENU YATAKUBALIWA ! HA AA. KAMA MNA NDUGU NA MAMA ZENU BADO WAKO HAI AFADHALI MUWATUMIE HIYO DOLLER 100 ILI WANUNUE MIHOGO NA SAMAKI WASONGE UGALI WALE

Anonymous said...

Acheni wizi wa kitoto. Kama mnautaka that bad nyie viongozi toeni mia tano kila mtu. Mnalazimisha wengine tuna better priority katika maisha na hatutaki dual. Sijaona kutilia nguvu kwenye kutuelimisha ila mmekauka na ukavu juu kwenye hela. Na mheshimiwa hapo juu kwenye kamati ya mchango place of birth na date of birth hata ukiwa na uraia mmoja au kumi details hazibadiliki. Yaani mnatia aibu kusrma mtu hajui kama place of birth ni sehemu aliyozaliwa. Anzeni kuelimishana nyie viongozi kwanza halafu mtuelimishe sisi kisha ndio muombe hela.

Anonymous said...


Haya yote ni MAJANGAAA!!! Kweli WaTanzania hata kama mekaa Marekani na kuwa Raia bado mnaonekana shule hakuna. Hivi mnajifikiria ninyi wenyewe hamfikirii vizazi vijavyo ambavyo ni ukombozi wa ile nchi inakoelekea kuzamia.!! Basi ndugu zanguni, wengine mna miaka kumi hata nyumbani hamkanyagi?!

Anonymous said...

Mr macha umeweka wazi umesema ukweli kabisa tanzania ni nchi ya watanzani hapa haulazimishwi kuchukuwa uraiya please no duo please no duo