ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 10, 2011

Libeneke La Shebby Biboze

 Habari za kazi mkubwa mimi msomaji mkubwa wa blog yako ya jamii kwa jina naitwa Shebby Biboze naishi marekani state ya Washington DC nimeamua kuanzisha blog yangu binafsi itakayo kuwa na lengo hilohilo la kuelimisha jamii na kupeana taarifa mbalimbali hivyo basi nilikuwa naomba kwa heshima kubwa unitangazie BLOG yangu ili watu wapate kuifahamu na kuapata taarifa na habari mbalimbali zinazo tuhusu sisi kama taifa la kesho. Blog yangu inaitwa wabongousa.blogspot.com na nyingine ni wabongousamatukio.blogspot.com. Ahsante sana mkuu kwa ushirikiano wako.
my contact is
      PH: 410-620-3438

1 comment:

Anonymous said...

Hakuna State ya Washington DC