
Wakina mama na watoto wakiwa wamepata hifadhi ya muda kwenye uwanja wa Uhuru baada ya milipiko ya mabomu yaliyotokea kwenye kambi ya JWTZ Gongo la Mboto

Hawa ni watoto nao wakiwa kwenye uwanja wa Uhuru wakipata hifadhi ya muda baada ya milipuko ya mabomu uliotikisa jiji la Dar jana usiku.

Juu na chini ni baadhi ya mabomu yaliyolipuka jana usiku kwenye kambi ya jeshi JWTZ Gongo la Mboto


Hii ni moja ya nyumba zilizoharibiwa na Mabomu yaliyolipuka jana kwenye kambi ya Jeshi JWZT Gongo la Mboto(picha zote kwa hisani ya FULL SHANGWE)
No comments:
Post a Comment