Msiba DC
Yasin Randi(Manyoka) amefiwa na mwanae Tanzania anayeitwa Matola kwa ajali ya gari walikua wakitokea Beach wakawa wanaovateki Lori ndipo walipogongana uso kwa uso na Costa,wenzake aliokua nao walifariki pale pale yeye alikimbizwa Muhimbili ICU na kufariki leo asubuhi.Marehemu alikua na miaka 22.
Msiba upo
2608 Kirwood Place Apt 201,
Hyattsville,MD,20782
Kupeana pole ndio desturi yetu,ukipata nafasi pitia nyumbani kwa mfiwa au unaweza kumpigia simu
202 431 8262
Mungu aiweke roho ya marehemu pema peponi,Amina
1 comment:
POLE SANA, MUNGU AWAPE NGUVU WAFIWA WOTE
Post a Comment