ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 13, 2011

SIMBA YAWAUA WACOMORO, KUMENYANA NA TP MAZEMBE

MABINGWA wa soka Tanzania bara, Simba SC, leo wameshinda kwa mabao 4-2 dhidi ya Elan Club ya Comoro, katika mchezo wa pili raundi ya awali, Ligi ya Mabingwa Afrika. Kwasasa Simba watakutana na mabingwa watetezi TP Mazembe ya DR Congo. Wafungaji wa magoli ya Wekundu ni Samatta (2), Ochan (1) na Santos (1).(Picha kwa hisani ya Global Publishers)

No comments: