ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 13, 2011

Valentine iliyojaa Ma-Lovey dovey

Miss Temeke akimlisha keki Baba mwenye nyumba wake
Mynah akimlisha keki Baba mwenye nyumba wake
Bahati akimlisha Keki the future Baba mwenye nyumba wake 
Quize naye akimlisha keki Baba mwenye nyumba wake
Salma akilishwa keki na Baba mwenye nyumba wake

1 comment:

Anonymous said...

DJ LUCAS SASA .UWE MACHO HII BLOG YAKO WATU WATU WATAIDHARAU BURE ,USIWE UNATOA PICHA NYINGI ZA HIVYO.KWA SABABU WATU.WA MAANA WENGI WANASOMA .MPAKA UBALOZINI ,WANASOMA .UTAJIPUNGUZIA MAKETI KAMA PICHA YA SALIMA .NZURI,POA BAADAE .WATU WANAZUNGUMZA.