Watoto wa Mauritania wakimkaribisha Rais Jakaya Kikwete kwa tende na maziwa alipowasili jijini Noaukchott kwa ajili ya mkutano wa wakuu wa nchi sita za Afrika wenye jukumu la kutafuta suluhisho la kisiasa nchini Ivory Coast. Kulia kwake ni mwenyeji wake, Rais Mohamed Ould Abdel Aziz wa nchi hiyo.(Picha na Freddy Maro). |
No comments:
Post a Comment