ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 13, 2011

Image
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kushoto) akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, January Makamba wakati walipotembelea Bwawa la Mtera kuangalia hali ya uzalishaji wa umeme nchini. (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

No comments: