Mdau akiwa na shemeji yake kwenye shower ya mtoto wake
Mc Aunt Sharifa akiongea jambo kwenye shower ya mtoto ya mdau maarufu,DC
Ndugu,jamaa na marafiki wakitoa ndoo ndoo mbili tatu kuhusu malezi ya mtoto
Moza(shoto) na Halima(kulia)waliosimama nyuma wakipata Ukodak moment na Mdau kwenye shower ya mtoto wake
Madj wa Muungano shoto ni Dj Mayor Mlima(Bara) na Taahir Gharib(Visiwani)
Wageni waalikwa wakiwa tayari ukumbini kwenye shower ya mtoto ya Mdau maarufu,DC.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment