Dr Donold Wallace kwenye U-kodak moment na mchumba wake Sallama Matumla jana Jumamosi march 5,2011,Glenwood,Maryland, kwenye sherehe ya miaka 60 ya siku ya kuzaliwa ya Dr Donold Wallace na baadae Dr Donold kumvisha pete ya uchumba Bi Sallama Matumla
Dr Donold Wallace(kulia) akiwa na ndugu na jamaa
Sallama Matumla(shoto) akiwa na Mama Raju kwenye U-kodak moment
Mama na mwana juu ni Sallama akiwa na mama yake Chini nia Sallama akiwa na mwanae
Hapa ni wakati wa kuvishana pete
Dr Donold Wallace akimvisha pete ya uchumba Bi Sallama Matumla
Bi Sallama Matumla akionyesha pete ya uchumba
Dr Donold Wallace akichukua Mic kutoka kwa MC kuelezea mawili matatu na kwashukuru watu wote kwa kuja
Kwa picha zaidi Bofya Read More
1 comment:
You look so beautiful Sallama!
Post a Comment