Kwa wale wanaotaka kuenda Loliondo, this are the facts
· Loliondo is 400 Km from Arusha Town and its rough road
· No enough food and water also no fancy hotels (Entrepreneur Shaweji is planning to Build one or two)
· Long queues may take a week to be attended.
· You need atleast two weeks of leave to complete your journey.
See below:
Inaonyesha magari mengi yaliyopo Loliondo ni magari ya Serikali
Mti wa Mugariga ambao hutoa dawa
Dawa Inachemka
Dawa Tayari kwa kunywewa
Dawa Ikigawiwa
Mapumziko baada ya kupata Dawa
Picha na Mdau Shukushuku
No comments:
Post a Comment