ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 23, 2011



Mark your Calenda


Ndugu Wana Afrika Mashariki,Na wote wanaozungumza Kiswahili,
Bro. Venance, FC
Anawaomba mweke kwenye kumbukumbu ya kalenda zenu kushiriki kwenu katika Sherehe za kuweka Nadhiri zake za maisha, Tarehe 11 mwezi wa Sita, saa 8:00 mchana siku ya Jumamosi 2011, katika Parokia ya Mtakatifu Anthony wa Padua hapa Brookland, DC. Anuani ni:

St. Anthony's of Padua
1029 Monroe Street Northeast
Washington D.C., DC 20017

Sherehe itakuwa ndogo tu na yakawaida,lakini nafikiri tutafanya juhudi walau hata
"Kimpumu na Mbege" vipatikane.Anatanguliza shukrani kwa watakaokuwa
tayari kumsaidia kufanikisha tukio hilo.Ukitaka kuwasiliana naye kuonesha kushiriki
kwao mpigie simu 202-636-4306
Kwa kumalizia napenda nitoe shukrani zangu za dhati kwawote walioshiriki Misah kwa lugha ya Kiswahili Jumapili
Iliyopita. Tutawajilisha Mara tupatapo mahali ni wapi Misa ya
Jumapili ya Pasaka Aprili 24, 2011 itafanyikia.
Pia Padri Pisa anategemea kuwasili hapa tarehe 29 March na
atakaa kwa majuma mawili tu. Ingefaa kweli tuwe na muda wa
kumpongeza. Naomba mawazo yenu.
Wenu Katika

Padri Shao



No comments: