Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Idriss Deby wa Chad muda mfupi baada ya kumalizika kwa kikao cha kamati maalumu ya wakuu wa nchi za Jumuiya ya Umoja wa Afrika(AU) ya kutatua mgogoro wa kisiasa nchini Ivory Coast.Kamati hiyo ilikutana mjini Nouakchott Mauritania chini ya uenyekiti wa Rais Mohamed Ould Abdel Aziz(kushoto) wa nchi hiyo.Wengine katika picha ni wajumbe wa kamati hiyo Rais Blaise Compaore wa Burkina Fasso(watatu kushoto) na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini(wane kushoto) (Picha na Freddy Maro). |
No comments:
Post a Comment