Yahaya Kheri(shoto) na Vincent Ndusilo
Yahaya Kheri na Vincent Ndusilo,Watanzania wanaoishi Maryland ambao wamejitolea kuwafundisha mpira wa miguu watoto wenye umri kati ya miaka 6-12 wamesema kuanzia Jumapili ya April 3 wataanza mafundisho yao kwenye uwanja uliopo Meadowbrook park kuanzia saa 10 jioni(4pm).
Wamesema watafundisha watoto wa jinsia zote,kitu muhimu walichosisitiza kwa wazazi wahakikishe wanawakatia bima watoto wao kwani mpira wa miguu wakati mwingine hutokea ajali za kuumia.
Address ya uwanja ni
9701 Meadowbrook LN,
Chevy Chase,MD,20815
kwa Maswali na ufafanuzi unaweza piga simu Yahaya Kheri 202 569 9798 na Vincent Ndusilo ni 301 256 8615.
Asante
No comments:
Post a Comment