ANGALIA LIVE NEWS

Friday, March 25, 2011

Image
Mtu ambaye jina lake halikufahamika mara moja akiwa chini ya ulinzi wa askari polisi baada ya kumtia mbaroni katika eneo la Upanga Diamond, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa askari hao, mtu huyo aliwakimbia baada ya kugundua amefanya makosa na hivyo askari hao kuanza kufukuzana naye na ndipo walipomkamata eneo hilo. (Picha na Fadhili Akida)

No comments: