ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 11, 2011

Achomwa Moto Kwa Kuzamia South Beach Kigamboni

Pichani ni Bwana Lilah Hussen Alieungua vibaya mwili mzima akiwa ndani ya Gari la Kubebea Wagonjwa(Ambulance)ya hospitalki ya Kigamboni jijini Dar es Salaam Tayari KukimbizwaHospitali ya taifa ya muhimbili mara baada ya kuchomwa moto na walinzi pamoja na Meneja wa hoteli ya South Beach iliyopo Kigamboni alipobainika kuwa aliingia hotelini Hapo Bila Kulipa Kiingilio.Picha na Habari na Mdau Pius Micky Kutoka Eneo la Tukio
(picha na maelezo kwa hisani ya Haki Ngowi Blog)

No comments: