Yahaya Kheri(shoto) na Vincent Ndusilo
Yahaya Kheri na Vincent Ndusilo,Wanawashukuru wazazi waliowaleta watoto wao kucheza mpira wa miguu Jumapili iliyopita April 3,2011,wamesema mazoezi ya Watoto yataendelea tena Jumapili April 10,2011,wanaomba wazazi wawalete watoto wao.
Watoto wawe kati ya miaka 6-12,mafundisho yataendelea Meadowbrook park kuanzia saa 10 jioni(4pm).
Watafundisha watoto wa jinsia zote,kitu muhimu walichoendelea kusisitiza kwa wazazi wahakikishe wanawakatia bima watoto wao kwani mpira wa miguu wakati mwingine hutokea ajali za kuumia.
Address ya uwanja ni
9701 Meadowbrook LN,
Chevy Chase,MD,20815
kwa Maswali na ufafanuzi unaweza piga simu Yahaya Kheri 202 569 9798 na Vincent Ndusilo ni 301 256 8615.
Asante
************
Tangazo La Mazoezi
mazoezi yanaanza rasmi Jumapili April 10,2011 Meadowbrook park kwa wale wote wapenda mpira wa miguu,ukisoma tangazo hili mwambie mwenzio time ni saa 10 jioni
Asante,Mpwa
No comments:
Post a Comment