Salha na Isaac Kibodya wakisaidiana kukata keki
Isaac Kibodya akimlisha keki waridi wa moyo wake,mpenzi mkewe,mama mwenye nyumba wake,Salha Kibodya.
Salha Kibodya akimlisha keki waridi wa moyo wake,mpenzi mumewe,baba mwenye nyumba wake,Isaac Kibodya.
Salha na Isaac Kibodya wakichumu kama ishara ya ma lovi davi
Salha na Isaac Kibodya wakisikiliza Mc Sunday Shomari wakati alipokua anasisitiza jamabo
Juu na chini ni Salha na Isaac kwenye dance yao ya kwanza
No comments:
Post a Comment