Ndugu Watanzania na wote wenye mapenzi mema.
Hii ni kukumbushia tu kuwa ile Misa ya kumshukuru Mungu kwa ajili ya Mh. Padri Pisa na Kumwombea mema ni Kesho.
Siku :- Jumapili April 10, 2011
Muda:- saa 8:30 mchana Kamili
Mahali:- Capuchin College
4121 Harewood Rd NE
Washington, D.C., 20017
4121 Harewood Rd NE
Washington, D.C., 20017
Tunaomba kila mmoja ashiriki kwa uwezo wake. Imba, Jibu misa, Leta Chakula au maji au soda n.k. Njoo na familia yako au jirani yako.
Padri Shao
No comments:
Post a Comment