ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, April 7, 2011

Misa kwa Kiswahili Jumapili Aprili 10, 2011

Ndugu Watanzania na Wote wenye mapenzi mema,
Padri Pisa amefika kwa muda mfupi na atarudi Tanzania kwa utume wake mpya kama mkuu wa shirika lake kanda ya Tanzania. tunawaalika kwa  Misa Takatifu na Tafrija fupi kumpongeza na  kumuaga.
Siku :- Jumapili ijayo April 10, 2011
Muda:- saa 8:30 mchana Kamili
Mahali:-  Capuchin College
4121 Harewood Rd NEWashington, D.C., 20017

Kama una zawadi Binafsi funga vizuri kwanye Bahasha au ujuavyo mwenyewe kutakuwa na meza ya kuweka zawadi hizo na Padri atakabidhiwa.
Kama unaweza kuandaa chakula Wasiliana na Dada Happiness Maruda kwa simu au Text Msg. 301-461-6030
Kama utaleta kinywaji chochote kuanzia maji na kuendelea tafadhali wasiliana na Baraka  Daud 301-792-8562 au
Gervas Wambura 301-233-4447  Wajumbe wengine ni Pius Mutalemwa na Marco Mbullu.
Watakaoimba Wasiliana na Dada Julie Sarwat.
Wajumbe Kama kuna mawazo zaidi tuwasiliane.
Asanteni na Mungu awabariki Ni Jumapili ya Furaha "Laetare Sunday" Furahi na Shangilia kwani ukombozi upo. 
Fr. Shao

No comments: