ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 11, 2011

MSIBA COLUMBUS, OH


Ndugu Watanzania,
Kama tulivyowataarifu hapo mwanzo kwamba wafiwa wanatarajia kwenda nyumbani kwa mazishi kati ya Jumanne au Jumatano ya wiki hii. Makadirio ya gharama za usafiri ni kati ya $8,000- $10,000. Fedha hizo zitakidhi gharama za usafiri wa watu wazima 4 na watoto 3.
Mpaka sasa hivi imepatikana $4,805; bado tunahitaji $5,195 kufanikisha wafiwa kufika nyumbani Tanzania. Kwa mantiki hiyo, kesho Jumatatu, tarehe 11 April 2011, saa kumi na mbili jioni (6pm) kutakuwa na harambee ya kukusanya $5,195 kukidhi gharama za usafiri.
Harambee itafanyika nyumbani kwa Harry na Vicky Lyatuu, 1387 Mentor Dr. Westervile, OH 43081.
Kufika kwenu ndio kufanikisha lengo hili.
Kwa wale wasioweza kufika, unaweza kuweka mchango wako kwenye account ifuatayo:
Harigod Lyatuu
Chase Bank
Routing: 044000037
Account: 804008191
Kama kuna maswali yoyote, wasiliana na wafuatao:
Bidan Mchao614-670-2312
Peter Kirigiti614-668-8096
Eliud Mashamba614-707-9353
Godfrey Moshy614-592-9931
Aileen Lyimo614-374-8237
William Mwandambo614-537-1448


Kwa niaba ya familia ya Lyatuu, tunatanguliza shukrani za dhati...

No comments: