ANGALIA LIVE NEWS

Monday, April 4, 2011

Polisi Wapata Mafunzo Maalum ya Kujihami na Kujitambua

 Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi anayesimamia ajira, Renatus Chalamila (kushoto) na Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi, Alyce Mapunda, wakiimba pamoja na maofisa wengine wa polisi wakati wa kufunga mafunzo hayo.
 Mkaguzi msaidizi wa Polisi ambaye ni mkufunzi wa Chuo cha Taaluma ya Polisi, akipita bila viatu kwenye moto, kama ishara ya kuonyesha kuwa kila kitu kinawezekana, wakati wa kufunga mafunzo ya siku mbili yaliyotolewa na taasisi ya (Peak Perfomance) kwa wakufunzi wa chuo hicho katika kuwajengea uwezo wa kiimani, kisaikolojia na kujitambua kwanini wanaishi ili kuwasaidia kujiamini katika utendaji wa shughuli zao za kila siku.Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
Chanzo:Haki Ngowi Blog

No comments: