![]() |
| Rais Jakaya Kikwete na Balozi wa Japan nchini, Hiroshi Nakagawa (kulia) wakikata utepe kuzindua upanuzi wa barabara yenye urefu wa Kilometa 12.9 inayotoka Mwenge hadi Tegeta, Dar es Salaam. Upanuzi wa barabara hiyo umefadhiliwa na Serikali ya Japan kupitia Shirika lake la JICA kwa kiasi cha shilingi bilioni 88. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli. (Picha na Mwanakombo Jumaa) |

No comments:
Post a Comment