ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, April 6, 2011

The Return Of Memorial Weekend,COLUMBUS,OH
COVER CHARGE $10 BEFORE MIDNIGHT 
AFTER MIDNIGHT IS $15
Friday May 27,2011
usiku wa Mwafrika
plus
onyesho la vazi la khanga na 
Asya Idarous Khamsin
(Dress Code:Khanga 4 Ladies,kitenge Shirt 4 Gents)
Address:
B A Z O D I
The  CARIBBEAN SPOT
6124 BUSCH BLVD
COLUMBUS, OHIO 43229
Saturday May 28,2011
from 4pm
Saturday for basketball,East vs West and Cook out
James O Casto Park
Behind Iron Pony Motorsports Superstore
5436 Westerville Road
Westerville, OH 43081
Saturday may 28,2011
from 9pm
ULTRA WHITE PARTY
(Dress Code:All White)
address

B A Z O D I
The  CARIBBEAN SPOT
6124 BUSCH BLVD

COLUMBUS, OHIO 43229
Sunday May 29,2011
from 4pm

Sunday for Soccer,Simba vs Yanga and Cook Out.
Whetstone Park of Roses
3923 North High Street
Columbus, OH 43214-3335
Sunday May 29,2011
Grooveback Sunday
(Dress Code:DressTo Impress)
Address

B A Z O D I
The  CARIBBEAN SPOT
6124 BUSCH BLVD

COLUMBUS, OHIO 43229
Simba na Yanga Ughaibuni,sasa Kukipiga Columbus,OH,Memorial Weekend

Kikosi cha Simba Kikikaguliwa na Afisa Ubalozi Suleimani Saleh kulia kwake ni Mh:Mshamu Abdullah,
Afisa Ubalozi akikikagua kikosi cha Yanga
Mechi ya watani wajaji ambayo imejichukulia umaarufu mkubwa kwa wachezaji na mashabiki wa pande zote mbili Ughaibuni,kwa mara ya kwanza mwaka huu watacheza nje ya DC.

Hii itakua ni mechi ya kwanza mwaka huu kuakutanisha mahasimu hao,mechi ya mwisho iliyochezwa Meadowbrook Park Yanga waliibuka washindi kwa kuibanjua Simba 3-2 hii mechi ililikua ya Simba kujaribu kulipa kisasi baada ya mechi yao ya kwanza  mwanzoni mwaka 2010 kuambulia patupu pale ilipobanjulia bao 5-2 na mahasimu hao wa Jangwani.

Kawaida Simba na Yanga hucheza April 26 kusherehekea siku ya Muungano,mwaka huu mechi imesogezwa mbele kwa sababu kuu mbili kwanza kuwapa wachezaji muda zaidi wa kujiandaa na mtanange huu wa kukata na shoka pili kuwapa nafasi washabiki wa mikoani kushuhudia mpambano huu wa watani wa jadi

Mechi itachezwa Jumapili May 29,2011 uwanja utakaochezewa mtanange huu utatangazwa baadae,mechi ya marudiano itachezwa siku ya kuazimisha miaka 50 ya Uhuru na mechi itachezewa DC.

Pia mazoezi yataanza rasmi Jumapili hii April 3,2011,Meadobrook Park kwa wachezaji wa pande zote za Simba na Yanga kwa maandalizi ya mpambano huo
For more Info:
Chacha Ngocho-614 439 4629
Kelvin Mkwawa-614 596 3762
Justin Burundi-614 260 3119
Karibuni

No comments: