Hapa ndipo ilipofanyika Annisersary ya Salha na Isaac Kibodya
Bango Kubwa linalowapongeza Salha na Isaac Kibodya
Juu na chini ni ukaaji uliokua na majina ya Mikoa ya Tanzania
Juu na chini Keki ya Anniversary ya Salha na Isaac Kibodya
Kwa picha zaidi Bofya Read More
Salha na Isaac Kibodya pamoja na wapambe wao wakiingia ukumbini kwa mbwembwe huku wakilisakata Sebene
Wapambe wa Salha na Isaac Kibodya
Salha na Isaac wakiwaongoza wapambe pamoja na wageni waalikwa kwenye mduara
Juu ni wapambe wa Salha na Isaac wakiduarika,Chini ni Baadhi ya wageni waaalikwa wakiduarika
Emmanuel Bandawe akiwa na mama mwenye nyumba wake wakienda sambamba na watu wengine kwenye mduara huo
Juu ni Isaac na Salha Kibodya na chini Isaak na Salha wakipata U-kodak Moment na wapambe wao
Isaak na Salha wakiongoza wapambe wao pamoja na wageni waalikwa katika kupata menyu
Isaak akiongea machache na kuchukua fulsa hiyo kuwazawadia wafanyakazi wenzake zawadi maalum ya Khanga
Juu na chini ni Salha akigawa zawadi ya Khanga
Mama mitindo Asia Idarous Khamsin akiwaonyesha wafanyakazi wenzake na Kibodya jinsi ya kufunga Khanga
Isaac Kibodya akimpa Mkwewe zawadi maalum ya picha iliyopigwa siku ya harusi yao
No comments:
Post a Comment