Haya Tena Durham NC! Mhubiri, Bahunde Erick a.k.a (Kitambaa cha Cheupe). Chenye maajabu kuliko yanayo semwa huko Loliondo Arusha Tanzania. Mhubiri huyu atakuwa akiendesha misa za Ishara na Maajabu katika ukumbi wa Yates Babtist Association uliopo Durham. Watu wote wenye njaa na kiu ya kuona matendo makuu ya Mwenyezi Mungu wanakaribishwa; kila Jumamosi kuanzia saa Kumi na mbili na nusu joini mpaka saa mbili usiku.
The address is:
4800 Garrett Road
Durham, NC 27707
Durham, NC 27707
Time: 6:30Pm to 8Pm
Date: Every Saturday
No comments:
Post a Comment