Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Ombeni Sefue (Amekaa wa tatu kutoka kushoto) alipokutana na kamati ya muda ya jumuia ya watanzania waishio New York na vitongoji vyake.
Kamati ya mpito ya Jumuia ya watanzania waishio Dondoo za mkutano zitakuwa kama ifuatavyo:
Kuitambulisha Jumuia.
Kujiunga na Jumuia.
Uchaguzi wa nafasi mbali mbali za uongozi.
Kuzungumzia hali ya maendeleo ya Jumuia ya Watanzania New York
Tafadhali nenda kwenye website ya www.nytanzaniancommunity.org kupata taarifa zaidi. Fomu za kujiunga na Jumuia na kugombea nafasi zipo kwenye website, tunakusihi jaza fomu zote. Tunaomba wakina mama kujitokeza kwa wingi kugombea nafasi hizo na jitihada zitafanyika kuzingatia gender kwenye uongozi.
Shukrani.
No comments:
Post a Comment