Sunday Shomari ndie aliyekua MC kwenye Wedding Anniversary ya Salha na Isaac Kibodya iliyofanyika Jumaosi April 9,2011,Leominster,MA
Hamza Mwamoyo akiongea machache kwenye Wedding Anniversary ya Salha na Isaac Kibodya
Mfanyakazi mwenzake na Isaac Kibodya ambae jina halikupatikana,nae akiongea mawili matatu
No comments:
Post a Comment