Mbunge Mohammed Dewji akimkabidhi Diwani wa kata ya Mtamaa Gwae Mbua (wa kwanza kushoto) msaada wa chakula cha njaa. Katikati ni Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Singida Ndg.Foustin.
Mbunge Dewji akimkabidhi Diwani wa kata ya Mwankoko Hamisi Nkulungu (wa pili kushoto) msaada wa chakula
Mbunge Dewji akimkabidhi Diwani wa kata ya Mandewa Shaban Kiranga (wa kwanza kulia) msaada wa chakula kwa watu wenye upungufu wa chakula
Mbunge Mohammed Dewji akihutubia wananchi wa kata ya Uhamaka
Mbunge Mohammed Dewji akimkabidhi msaada wa chakula kwa Diwani wa kata ya Uhamaka Ndg. Juma Ntandu (wa pili kushoto)
(picha kwa hisani ya www.mohammeddewji.com/blog)
No comments:
Post a Comment