ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, May 26, 2011

Africa Day yafana,Washinton,DC, May 25,2011

Mh Balozi wa AU  Amina Salum Ali
Balozi wa Congo akizungumza machache kwenye ghafla hiyo
World Bank Vice Presdent Africa Region,Obiageli Ezekwesili
Mh balozi wa AU Amina Salum Ali akiwa na Vice President wa world Bank Africa Region,Obiageli Ezekwesili.
Mh Balozi Mwanaidi Maajar akiwa na waheshimiwa mabalozi wenzake
Mh.Balozi Maajar akiwa na Mama Munanka
Mh,Balozi akiwa na Afisa Ubalozi Suleiman Saleh na Mama Munanka ambae ndio msaidizi wa Mh,Balozi
Juu na chini ni Mh Balozi AU akiwa kwenye meza yake akiwa pamoja na wageni walioaalikwa
Mh.Balozi akipeana mawili matatu na Mama Munanka
Mh Balozi akipiga picha ya kumbukumbu na Mr.Bobby Russh(wa pili toka kulia)ambae ni  mmoja wa Congress 1st District,Illinois kushoto ni Mh.Balozi wa AU,Amina Salum Ali na anayefuata ni balozi.
Kwa picha zaidi bofya Read More


No comments: