ANGALIA LIVE NEWS

Friday, May 13, 2011

Kisomo Cha Kutimiza Mwaka
Njiti enzi ya uhai wake
Familia ya Abdelle Abilahi anawataarifu kisomo cha mdogo wake mpenzi marehemu Yusuf Mohammed Abilahi(kwa jina maarufu NJITI) jumamosi May 14 2011 saa 10(4:00pm) kisomo kitafanyika Gaithersburg nyumbani kwake
                address 
9013 Centerway Rd,
Gaithersburg,MD,20879
Wengi tulimpenda Njiti,alikua mcheshi na mtu wa watu,sasa imefikia Mwaka tangia Mwenyezi Mungu alipokupenda zaidi,Daima utakumbukwa na wanao,mkeo,kaka yako,ndugu,jamaa na marafiki wako wote.

Mungu iweke roho ya marehemu Njiti pema peponi,Amina.
Kwa maelekezo zaidi
Abby Mtulia 240 565 9449
Abdelle Abilahi 202 560 4420


No comments: