Wananchi wa kitongoji cha Harlem New York City walifunga barabara ya 125 St mchana huu kwa takribani ya dakika 30 na kusababisha foleni. Na kuandamana huku wakiimba "Malcolm X black power" kama kumuenzi, kiongozi huyo aliekuwa mtetezi na kiongozi wawatu weusi hapa Marekani, na heneo hili la Harlem ndiko alikouwawa kwa kupigwa risasi akiwa anahutubia wananchi mwaka 1965, punde tu baada ya kurudi ziarani katika bara la Africa na ulaya, Malcolm X, alikuwa the Negro nationalist leader, Ny Ebra wa New york City.
Juu na chini ni askari akihakikisha kuwepo kwa usalama



No comments:
Post a Comment