Nondozzzzzzz

Mercy Ligate akiwa amekamata Nondo yake kibindoni kwenye sherehe za Graduation zilizofanyika Ijumaa May 20,2011,Bowie State,University.

Mercy akiwa na Baba mwenye nyumba wake na watoto wao katika U-kodak moment
Shemeji ya Mercy,Obed Ligate pamoja na mama mwenye nyumba wake wakipata U-kodak wa pamoja
Mercy akiwa na familia yake kutoka kushoto ni Mama Mfanga,Mecry,Mzee Mfanga na Eric Mfanga
Familia ya Ligate na Mfanga wakipata U-kodak Moment
Kutoka shoto ni Carol,Professor,Eric,Mercy,Leah,Mama na Baba Mfanga
Mercy akipata U-kodak na Professor wake wa Bowie State University.






1 comment:
Congrats to the Grad...Obed, its been many many years Man-since the Tambaza days. How are you doing?
Its me madness silent..lol
Post a Comment