ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, May 22, 2011

MERCY'S GRADUATION BASH


Juu na chini,Mercy Ligate akiwasili kwenye Graduation Bash aliyoandaliwa maalum kwa ajili ya kusherehekea kukamata nondoz,Ijumaa May 20,2011,Bowie State University.
Mercy akipata U-kodak na Shemeji yake Mr,Guy
Mercy akipata U-kodak na wageni waalikwa waliokuja maalum kumpongeza kwenye Bash hiyo iliyofanyika Jumamosi May 21,2011,Millenium Club.
Mercy akipata U-kodak na wageni wake waliokuja kumpongeza
Mercy akipata U-kodak na Mwambata wetu,Colonel Maganga pamoja na mama mwenye nyumba wake,mama Maganga.
Mercy akipata U-kodak na rafiki yake,Nesha na baba mwenye nyumba wake,John
Mercy akifurahia Champaign ambae baba mwenye nyumba wake akiwa anajiandaa kuifungua mahususi kwenye shughululi hiyo ya pongezi ya kukamata nondoz.
Champaign itayari kunyweka
Mercy akiwa na ndugu,jamaaa na marafiki wakipongezana kwa kungongeana glasi za champaign.
Kwa picha zaidi Bonyeza Read more

No comments: