ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 11, 2011

Image
Msamaria akiwavusha barabara wanafunzi wa chekechekea na shule ya msingi, eneo la Tandika Vetenari mjini Dar es Salaam. Eneo hili linahitaji kuwekewa alama ya kivuko ili kuepusha ajali zisizo za lazima kwa watoto hao. (Picha na Fadhili Akida).

No comments: