ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, May 11, 2011

Picha iliyochukua Tuzo wiki hiii

Hii ndio U-kodak uliochukua tuzo wiki hii hapa ni siku sinema ya Jelani ilipoonyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye kumbi za sinema zilizopo,Bethesda,Marland kwenye picha kati ni Peter Walden ambae ndie alibeba jina la Jelani kwenye sinema hiyo hapa akipata U-kodak moment na mashabiki zake kwenye zulia jekundu.

No comments: