Monday, May 2, 2011

TANZANIAN UNION DAY SEATTLE 4/30/2011 YAFANA

Mama mitindo Asya Idarous na Mariam wakipata U-kodak Moment
Mamam wa mitindo Asya Idarous Khamsin akipata U-kodak moment na wadau Seattle alipoalikwa na chama cha Watanzania,Washington,Seattle kusherehekea siku ya Muungano Jumamosi April 30,2011
Juu na chini ni wadau wa Seattle wakipata U-kodak moment
Tajiri wa Seattle akiwa na Ally Koba
Picha zote na Meya wa Seattle Amin Dola.
Kwa picha zaidi Bonyeza Read More

shoto ni Flora Komba Mlezi wa Mwangaza Jitegemee Foundation akipata u-kodak na mdau
Mdau Ally Tawfiq
Bi Mariam
Bi Aziza akiwa na Kadogoo wa Jimmy na Fatma
Ahmed na Maria wakipata U-kodak Moment
Janeth na Mariam
kutoka kushoto ni Fatma,Asya Idarous na Amina
Jimmy na Fatma wakiwa na familia yao
Tajiri wa Seattle akiwa na Mama mwenye nyumba wake Sada
Mdau Chris kutoka Portland,Oregon akipata U-kodak na Muna mmoja wapo ya Model

No comments: