Alawi Omar na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV bwn. Iddi Sandaly wakisalimiana na kupiga picha ya pamoja walipokutana kwenye mazishi ya marehemu Mohammed Ali Cleveland, Ohio nchini Marekani siku ya Jumapili Aug 17, 2014 wiki moja baada ya uchaguzi wa DMV ambao umeleta gumzo Duniani na bado unaendelea kuwa gumzo na kuchukua vichwa vya habari kwenye mitandao ya kijamii. Bwn Alawi Omar ndiye aliyekua mkuu wa muundo mzima wa kampeni ya aliyekua mgombea wa Urais wa Bwn. Liberatus Mwang'ombe
Ni kwa masikitiko makubwa sana Team Libe inatoa tamko la kulaani kitendo cha Team Idd na Vijimambo Blog kufanyia propaganda picha ya msibani Cleveland ya Bwn Alawi Omar na Idd Sandaly kwa Kuweka heading ya kizushi " HUU NI MFANO WA KUIGWA" kwenye picha hiyo ya msiba ambao watanzania walikutana kwenye maziko ya kumpoteza mtanzania mwenzetu. Huu ulikuwa msiba binafsi (Private matters) ambao hauhusiki na maswala ya jumuia ya DMV na yaliojiri. Team Libe inaomba ifahamike kwamba wale wote walio jihusisha kwenye propaganda hii inaomba watambue kuwa; msiba huwa hautaniwi wala haufanyiwi siasa. Ni fedheha, dhihaka na dharau kwa ndugu wa marehemu kutumia msiba kwa ajili ya kujipatia maslahi binafsi(Kiki) pia kutaka kuhalalisha uchaguzi usio halali.
Team Libe inaomba picha hiyo iachwe kutumika MARA MOJA na WAHUSIKA WOTE WAOMBE RADHI MARA MOJA kwa familia ya marehemu na jumiya kwa ujumla.
Tunaomba itambulike kuwa, msimamo wa “Team Libe for DMV Community President 2014” upo palepale; hatutambui uongozi mpya ulio tangazwa na tume ya uchaguzi August 11, 2014. Msimamo wetu ni kuwa; tunapinga matokeo ya uchaguzi ulio fanyika August 9, 2014 kwani ulikuwa sio wa haki wala huru; ni uchaguzi BATILI.
“Team Libe for DMV Community President 2014” haitatoa ushirikiano wowote na uongozi wa Jumuia ya Association of Tanzania Community in DMV.
Kwa maelezo juu ya tamko la kupinga uchaguzi huu fuata link hii hapa UCHAGUZI WA DMV NI BATILI
Imetolewa August 22, 2014
Alawi Omar
Team Libe for DMV Community President 2014/ Campaign Strategist.
20 comments:
I don't believe team Libe wanawachukia team Iddy. As a matter of fact, I don't think they are interested in personal conflicts. They just differ in ideas and don't support their unethical behaviors. Well done Alawi hata Obama ali shake hands na Mitt Romney baada ya malumbano marefu na kushinda uchaguzi.
Ushauri wa bure kwa "Team Libe".
Mimi ni mwana jumuiya nje ya DMV..niko NC.
Nakubaliana nanyi kabisa kuhusu pingamizi lenu. Ila pia kwa hapa..maingetumia hii Picha kupinga walichoaema wapinzani wenu. Watu wanaosoma blog wengi wanaangalia picha bila maelezo, hii may continue to show mnakubaliana na kilichojiri. Mwana habari wenu angetoa tamko na habari kwa maandiahi mekundu kupinga taarifa. Pia sio lazima kuwahusisha waliopata maiba hapa. Maana na nyie kwa kutimia picha hiyo hiyo kwa msiba huo huo bado manapeperusha hadithi ile ile. Kama mnataka mtu wa kuwajibia hawa mnaonwaita wachakachuaji nipigieni simu. Ila hapo mmekosea tena sana hata kwa wafiwa.
Wee LIBE UNAFIKIRIA wewe ni nani kumpa Rais wa Jumuiya ultimatum? YOU NEED TO DEAL NA WAKALA AU LOGISTIC OFFICER WAKO ALAWI PRIVATELY. Hivi wewe ungekuwa Rais Mbona Dj luke asingelala?? Kila Kitu basi lazima ukifanye public?? What's wrong with u men with privacy??? PLEASE TUMECHOKA KUSOMA NONSENSE HUMU..
This is a disgrace to us Tanzanians living in the US. We respect each and everyone but this election saga has made some of us think mmh! What is wrong in DC we have seen all good things about DC but now it's disgusting fighting over leadership. Why can't people accept defeat? Kuna maslahi gani huko kwenye uongozi mpaka mnagombea namna hiyo? Please stop for a moment and ask yourselves why am I doing this? What am I gaining? Please stop involving Ubalozi in signing petitions.They are supposed to mediate and bring you all together but not dividing you. So What If they won? Mnakosa usingizi kwa mambo madogo. Please accept and move on. Life is very precious to waste on petty things. All the best. Concerned Tanzanian Arkansas.
Inasikitisha sana kuona watanzania DMV tumekua reduced to two groups (or at least tunaonekana tuna makundi mawili tu) simply because of social media)
We need to move on and love each other kama tunavyotakiwa
Tunawaombeni tafadhali
Libe grow up man, mbona utaki kushindwa, wewe una agenda gani na ungozi? kama pesa umetoa nyingi tu kwa watu hili ushinde, umetumia makanisa yetu kwa kampeni…halafu ukaingia na gear ya udini, ni nani alifanya kampeni za kidini? kaka Libe mimi Mkristu, ulitumia makanisa kupiga kampeni, thanks for Catholic community ulipokuja kwenye Misa Baltimore yule Padri alikuchunia, akapiga misa kama kawaida na hakukupa nafasi wala kusalimia, sababu Kanisani ni sehemu ya Ibada siyo siasa.
Libe move on.
Nimefatilia huu uchaguzi muda mrefu sana na happy kuona umeisha salama. Sasa namshangaa huyu bwana libe na siasa zake za chuki na wazi tena anajionyesha dhairi kuwa iwapo angepata huo urais bac ungekuwa kwa manufaa yake binafs sababu huwezi kukataa kutoa ushirikiano ikiwa wote mko nchi ya watu, badilika kijana watu hawaishi hivyo muhimu jipange kwa mwaka mwingine na sio chuki zako za uroho WA madaraka
Come on Alawi you are smarter than that. In fact wewe ndio peke yako kwenye hili group la team Libe unaye make sense sasa basi usikubali kuburuzwa namna hii nakubaliana na anonymous 12:45am watu wamechoka kusoma ma non sense tusongeni mbele tafadhalini.
Annon wa 903am Na nyie huko bongo kutwa kujipaka mikorogo tu. Tusemeje?
At this point it's not about leadership. It is about corruption and human rights. If Martin Luther King didn't stand up for racism we would not be where we are today. It is an historic moment for all Tanzanians and finally someone is standing up against corruption. We should be proud of Libe and not put him down. It is very embarrassing and shameful if you are a TZ and you are not supporting this cause. This is a new generation of well educated people and will no longer put up with corruption like what our grand-parents endured. Libe stand up for your rights and some of us are even thinking of escalating this to a higher level -possibly congress- stay tuned!
what is team libe, are we still campaign. who's alawi. campaign strategist of what? you guys are real a jokers. one minute you curse dj luke and second minute you want him to post your nonsense. for real!!!??? I see you are trying to get a kick. just sit and shut up. even you don't know how jumuiya's constitution say. don't waste people time, you ahead to court with your fellow team libe. you dj luke now we are tired with nonsense stop posting in this blog. let them use their blog if they real have any audience.
Most people walio comments ni ignorants unatumia picha ya msiba kwa propaganda zenu idd sandaly? Kweli? Acheni upuuzi,kama mmechoka mngewambia lukas na idd ndio wa lioanza kupost picha kwanza za propaganda msiwe wanafiki
Pili wewe luka pia mnafiki ulipotoa propaganda zako mwanzo hukuachia comments waliporudisha majibu team libe ukachia comments basi juwa hatutishiki na ignorant or ignorance comments .mahakama itaamua
Tuko vizuri
luka stop kutoa manung'uniko ya ya huo libe, kila tukiamka kuna mpya ameibiwa,ameibiwa, nini manufaa ya kuongoza jumuiya yenu? huyu jamaa naambiwa ameenda shule, lakini haonekani kama amestaarabika, pamoja na kwamba yupo nchi iliostaarabika. lakini nasikia ndio alivyo ana historia kwa matokea tofauti kama hayo akishindwa anakuwa mkorofi, fungueni darasa la kiswahili mumstaarabishe, pumbavu
Apparently, kusoma na kuelimika are far from synonymous. Sandali amesoma lakini hajaelimika. Hakuna msomi aliyeelimika lakini anapenda cheap publicity kiasi hicho. Walimu wake cannot be proud of him at all. I went to school with this retard and I am ashamed!
Annon was 903am sie ma looser? Na Western Union mbona hamzifungi? Tunavyowatumia pesa za ada, magonjwa, harusi mbona mmnapokea? Pia huo mkorogo mnaopaka kila siku? Kutojiamini namilli yenu. Siyo vizuri kusimangana.
Luka mnafiki ndio maana haendelei kwa unafiki wake,mtu mzima hovyooo
Luca wewe feki kweli
Luke wewe ni mchonganishi mnafiki mkubwa haujengi kaka zaidi ya kubomo laana mmoja
Wengi wao hawakusoma wanabakia.maji taka...bila point za maana.
True nimekubaliana na wewe.
Change
Ignorant.
Post a Comment