Ndugu wapendwa mabwana na mabibi,vijana kwa wazee na watoto,karibuni sana katika misa ya kiswahili ya kikatoliki.
Mahali:katika kanisa la mt.mark.
7501 adelphi road,
hyattsville,20783.
Muda:saa nane na nusu
mchana(2:30pm).
Karibuni sana wote. Baada ya misa tutafanya uchaguzi wa viongozi wa jumuiya yetu ya kikatoliki. Njoo ushiriki katika kuchagua viongozi wa jumuiya yetu ya kikatoliki.
Asanteni sana.
Padri Shao.
Asanteni sana.
Padri Shao.
No comments:
Post a Comment