MABALOZI wadogo wanaowakilisha Nchi zao Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akitowa nasaha zake kwa Wananchi waliohudhuria sherehe hiyo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mlezi wa Taasisi ya Uchunguzi na Ushauri Zanzibar (ZRPP ) Dk. Salim Ahmed Salim. wakati wa Uzinduzi wa Taasisi hiyo leo.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Mwakilishi wa Jumuiya ya Wafanyabiashara Zanzibar Ali Aboud. akipokea kwa niaba ya Mwenyekiti wake.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Cheti Mwenyekiti wa ZATI Abdulsamad Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Map[induzi Dk. Ali Mohamed Shein akimkabidhi Cheti Mkurungenzi Mtendaji wa Kampuni ya Multcolour Mohammed Baloo iliyotolewa na Taasisi hiyo.
WASANII wa Kikundi cha Tausi Taarab wakitumbuiza katika sherehe za Uzinduzi wa Taasisi wa Uchunguzi na Ushauri ya ( ZRPP ) iliofanyika Ukumbui wa Salama. (picha kwa hisani ya Othman Maulid Blog)
No comments:
Post a Comment