![]() |
| Meneja Masoko na Mauzo wa Kampuni ya Tanzania Standard Newspapers Limited (TSN) inayochapisha magazeti ya Daily News na HABARILEO, Christina Geleja akisisitiza jambo wakati alipokutana na mawakala na wauzaji wa magazeti ya kampuni hiyo mjini Arusha hivi karibuni kwa ajili ya kupeana mikakati na kuboresha usambazaji na uuzaji wa magazeti hayo. (Picha na Marc Nkwame). |

No comments:
Post a Comment