![]() |
| Ofisa Masoko wa Kampuni ya bidhaa za asili, Omar Nurdin, akiwaeleza wanafunzi wa Shule ya Msingi Maktaba matumizi na faida za juisi ya rozella, walipofanya ziara ya mafunzo kwenye maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Wizara ya Maliasili na Utalii yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam. (Picha na Robert Okanda). |

No comments:
Post a Comment