ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, July 16, 2011

‘SEND OFF " YA JACQUELINE MJENGWA,

SHEREHE  ya kuagwa dada wa Mbunge wa Viti Maalum (CCM),Catherine Magige anayeitwa Jacqueline Mjegwa iliyofanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee  jijini Dar es Salaam jana imehudhuriwa na watu mbalimbali akiwemo Spika aliyepita, Samweli Sitta na Bakari Mwapachu.
Mh. Magige (kushoto) akiingia ukumbuni na mama yake mzazi.
Bi harusi mtarajiwa, Jaqueline  Mjelwa (kulia) akiwa na mpambe wake Loveness.
Mh. Magige (kulia) akiwa na bi harusi matarajiwa na mpambe wa bi harusi
Jacqueline Bi harusi mtarajiwa(kulia)akipongezwa
Mh. Magige akimtunza mama yake.
Mkuu wa Wilaya Kinondoni , Jordan Rugimbana.
Bakari Mwapachu (wa pili kulia) akijadiliana jambo katika sherehe hiyo.
Mh. Sitta (wa pili kulia) akiwa na mkewe, Margaret Sitta (kushoto).
Mwanamuziki mkongwe wa bendi The Kilimanjaro Band ‘Wana Njenje’, John Kitime,  akitumbuiza katika sherehe hiyo.

PICHA/HABARI NA IMELDA MTEMA /Global Publishers

No comments: